"Ukaguzi utafanyika," mkurugenzi mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki, Rafael Grossi, aliwaambia waandishi wa ...
Hatua hii imekuja baada ya Tume hiyo kushuhudia ukosoaji mkubwa kutoka kwa vyama mbalimbali vya siasa, tangu mwaka 2010 wakati nchi hiyo ilipoingia kwenye mzozo wa kisiasa, baada ya uchaguzi wa urais.
Serikali ya Côte d'Ivoire imevunja Tume Huru ya Uchaguzi (CEI) siku ya Jumatano, Mei 6, kufuatia ukosoaji mwingi dhidi ya chombo hicho. Mfumo mpya wa usimamizi wa uchaguzi unatarajiwa kuwekwa hivi ...
Waziri Mkuu anasema wavu wa usalama wa umma utakuwa tayari kwa wakati, kuwasaidia Waaustralia watakao ondolewa kutoka Mpango wa Bima wa Kitaifa ya Ulemavu (NDIS) yenye thamani ya mabilioni ya dola.
Serikali ya Burundi imezindua mchakato wa elimu kwa wapigakura kuelekea uchaguzi wa rais 2027. Hata hivyo upinzani umepinga, ukisema raia tayari wana uzoefu wa kutosha kuhusu uchaguzi na hawahitaji ...
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu. CHAMA Cha ACT-Wazalendo kimetoa hoja tatu wanazotaka kutekelezwa baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani na mgombea Urais ...
Vyombo vya Habari nchini Tanzania vimepigwa marufuku kutangaza ushuhuda unaotolewa mbele ya tume inayochunguza ghasia za wakati wa uchaguzi Oktoba 2025. Tume huru ya uchunguzi wa vurugu za Oktoba 29 ...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Jacobs Mwambegele (wa tatu kushoto), akifungua mafunzo kwa waratibu wa uchaguzi, wasimamizi wa uchaguzi wa mikoa na majimbo, maafisa uchaguzi, ...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Matukio ya Amani, yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mkuu mstaafu, Mohamed Chande Othuman, amesema ...
Tume huru ya uchaguzi, katiba mpya na uhaba wa rasilimali fedha ni miongoni mwa mambo yaliyotajwa na baadhi ya vyama vya siasa kama funzo mojawapo walilopata katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumatano ...
WADAU wa siasa na diplomasia wameeleza matarajio na imani yao kwa Tume Huru ya Uchunguzi ya vurugu zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, mwaka huu. Wakiunga mkono uamuzi wa Rais ...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyonayo chini ya kifungu cha 3 cha Sheria ya Tume ya Uchunguzi, Sura ya 32, ameunda Tume huru ya uchunguzi wa matukio ya ...