MTANDAO mkubwa wa biashara haramu ya watoto unaoanzia vijijini na maeneo ya mipakani hadi Nairobi na mataifa ya kigeni unaendeshwa na maajenti, wasafirishaji, mabroka na wakati mwingine maafisa ...
KIFO cha mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, katika ajali ya helikopta Septemba 30 kimefunga sura ya maisha ya mtu ambaye kwa miaka mingi alijijengea sifa ya kuwa karibu sana na ...
JARIBIO la kampuni ya Oilmax Ventures kupinga zabuni ya uchapishaji wa karatasi za kura za Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ...
MWANAMME mmoja na mwanamke walifariki katika matukio ya kusikitisha Kaunti ya Migori baada ya mzozo uliodaiwa kuhusisha deni ...
SERIKALI za kaunti zililipa Sh8.3 bilioni kama mishahara kama pesa taslimu badala ya kutumia mfumo rasmi wa kidijitali, hatua ...
MAAFISA wa upelelezi wamepanua msako wa Inspekta Kenneth Kipkemoi Sang hadi Tanzania baada ya juhudi za kumkamata nchini ...
VIONGOZI wanne wa Afrika wameungana na Rais William Ruto na mfanyabiashara Aliko Dangote katika hafla ya uwekaji wa jiwe la ...
MAHAKAMA ya Mazingira na Ardhi imeamuru ardhi yenye thamani ya takriban Sh25 milioni jijini Mombasa ambayo ilitwaliwa kinyume ...
SERIKALI za kaunti zimefungua akaunti nyingine 1,411 zamdhibiti katika mwaka uliomalizika Juni 2026, hatua iliyoongeza idadi ...
JUHUDI za washirika wa Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kupata chama cha United Democratic Party (UDP) kama jukwaa la kuwania ...
KAUNTI ya Lamu ilikuwa katika ulinzi mkali wa kijeshi jana wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote East Africa Petroleum Refinery ...
SENETA wa Nairobi, Edwin Sifuna, amepata ushindi mkubwa  kisiasa baada ya Jopo la Kusuluhisha Migogoro ya Vyama vya Kisiasa ...