KAUNTI ya Lamu imeandika historia mpya baada ya Uwanja wa Ndege wa Manda kupokea safari za ndege za kimataifa kwa mara ya ...
WAKAZI wa mji wa Bomet wanakabiliwa na tatizo kubwa baada ya kaunti hiyo kukosa jaa rasmi la kutupa taka. Hali hiyo imesababisha mapipa ya taka katika sehemu mbalimbali za mji kurundika uchafu huku ...
WABUNGE wametishia kufanya mabadiliko yatakayoweka vizuizi kwa uhuru wa vyombo vya habari kutokana na uchapishaji wa madai ambayo hayajathibitishwa kuhusu ukiukaji wa taratibu za uchaguzi kuelekea ...
MAHAKAMA ya Mazingira na Ardhi imeamuru Serikali ya Kaunti ya Mombasa kuwalipa zaidi ya wakazi 200 wa eneo la Mwakirunge fidia ya Sh350 milioni kutokana na ukiukaji wa haki yao ya kuishi katika ...
Waziri wa Kilimo na Maendeleo ya Mifugo Mutahi Kagwe amewataka wakulima nchini kutumia teknolojia, huduma za kidijitali na mbinu za kilimo zinazozingatia mabadiliko ya tabianchi ili kukabiliana na ...
CHANGAMOTO mpya imeibuka kuhusu umiliki wa jina la chama cha kisiasa cha Linda Mwananchi, huku Bw Charles Wanyonyi akidai kuwa ombi lake la kusajili jina hilo lilitangulia lile linalohusishwa na ...
KIFO cha mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, katika ajali ya helikopta Septemba 30 kimefunga sura ya maisha ya mtu ambaye kwa miaka mingi alijijengea sifa ya kuwa karibu sana na ...
MTANDAO mkubwa wa biashara haramu ya watoto unaoanzia vijijini na maeneo ya mipakani hadi Nairobi na mataifa ya kigeni unaendeshwa na maajenti, wasafirishaji, mabroka na wakati mwingine maafisa ...
JARIBIO la kampuni ya Oilmax Ventures kupinga zabuni ya uchapishaji wa karatasi za kura za Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ...
MWANAMME mmoja na mwanamke walifariki katika matukio ya kusikitisha Kaunti ya Migori baada ya mzozo uliodaiwa kuhusisha deni ...
SERIKALI za kaunti zililipa Sh8.3 bilioni kama mishahara kama pesa taslimu badala ya kutumia mfumo rasmi wa kidijitali, hatua ...
MAAFISA wa upelelezi wamepanua msako wa Inspekta Kenneth Kipkemoi Sang hadi Tanzania baada ya juhudi za kumkamata nchini ...