Dhana ya uwepo wa kitu cha siri imeghubika nembo za kwenye sarafu na kufanywa kuwa ishara au alama inayoonekana. Alama ya 'Jicho' - hili ni jicho ndani ya umbo la pembe tatu - ni moja ya alama ...
Illuminati ni jina lililopatiwa jamii iliobuniwa miaka 245 iliopita. Jamii hiyo ilizua nadharia kwa miaka mingi , huku watu wakidai kwamba ni shirika moja la kisiri ambalo nia yake ni kuteka uuongozi ...