Kila baada ya miaka mitano, macho ya Watanzania na hata ya mataifa jirani huishia Zanzibar. Ingawa ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, uchaguzi wa Zanzibar hujitofautisha kwa njia nyingi za ...
Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ZEC, imetoa maelekezo kuhusu namna mchakato wa upigaji kura na utoaji wa matokeo utakavyofanyika kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu. Tume ya Uchaguzi Zanzibar ...
Ushindani wa kisiasa umeibuka tena kufuatia uchaguzi mdogo, jimbo la Mtambwe kisiwani Pemba iliko ngome ya aliekuwa mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Maalim Seif Sharif Hamad. Vyama vinne ...
Mwezi mmoja kabla ya uchaguzi wa rais, upinzani unashutumu demokrasia ya ngazi mbili. Kikiwa kimekataliwa mara mbili katika kinyang'anyiro cha urais, ACT-Wazalendo, chama cha tatu kwa ukubwa nchini ...
Rais Samia Suluhu Hassan, anapeperusha bendera ya chama tawala CCM, kwenye uchaguzi huu anaotarajiwa kushinda, kutokana na kile wachambuzi wa siasa wanasema hakabiliwi na upinzani mkali. Mpinzani wake ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results