Baadhi ya raia wa Tanzania wanaotamani kuandamana hapo kesho kupinga kile wanasema ukandamizaji unaoendelea, sasa wanahofia ...
Hofu ya ghasia na kumbukumbu za mauaji yaliyotokea wakati wa uchaguzi wa Oktoba mwaka jana zapunguza matarajio ya kufanyika kwa maandamano yaliyopangwa Julai 7 nchini Tanzania.
Mwanaume anapiga kura yake wakati wa uchaguzi wa mitaa Tanzania kwenye kituo cha kupigia kura Kigoma, tarehe 27 Novemba, 2024. Serikali ya Tanzania imezidisha ukandamizaji wa kisiasa, Kuibua hatari na ...
Mabadiliko ya uhamaji wa kisiasa nchini Tanzania yameendelea kuwa chanzo cha mijadala mikali ya kitaifa, hasa pale wanasiasa wanapohama kutoka chama kimoja kwenda kingine na baadaye kurejea tena ...
Kamati ya Bunge la Ulaya kuhusu haki za binadamu imefanya kikao cha kusikiliza hali ya haki za binadamu nchini Tanzania.
Katika juma lililopita, Polisi wa Tanzania wamewakamata kiholela wanachama na wafuasi 375 wa chama kikuu cha upinzani nchini humo, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Miongoni mwao ni ...
Tangazo la kuundwa kwa tume hii linakuja majuma kadhaa kupita tangu tume ya awali iliyochunguza yaliyotokea wakati wa uchaguzi, kupendekeza serikali kuunda tume ya jinai kubaini vitendo vilivyofanyika ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results